0
 WANAMUITA DOCTA KIJIJI CHA RYAMISANGA WILAYANI BUTIAMA AKIENDELEA KUMFANYIA TOHARA KIJANA KWA DAKIKA 17 BILA GANZI NAKUONEKANA KUWA NI JASILI

 BAADHI YA VIJANA AMBAO TAYARI WAMESHAFANYIWA TOHARA WAKIMTAZAMA MWENZAO AMBAYE ANAENDELEA KUFANYIWA UTARATIBU

 DOCTA AKIJIANDAA KUFANYA KAZI YAKE


 MASHUHUDA WAKISHUHUDIA TOHARA
 
 MWANDISHI WA HABARI GEORGE MARATO ALIKUWA MMOJA WA MASHUHUDA

 BAADA YA KUMALIZA KUTUNZWA NI SEHEMU YA PONGEZI
 BAADAE NI VINYWAJI
 MSOSI KAMA HUU PIA ULIKUWEPO


Post a Comment