0
KATIBU WA UCHUMI NA FEDHA WA CCM MKOA WA MARA,MARWA MATHAYO AKIKABIDHI SETI 2 ZA ZAWADI KWA KIONGOZI WA TIMU YA KITAJI FC TAYARI KUSHIRIKI MASHINDANO HAYO AMBAYO BINGWA ATAONDOKA NA KITITA CHA MILIONI 2.
KIONGOZI WA KATA YA MUKENDO AKIPOKEA JEZI KWAAJILI YA TIMU YAKE

KIONGOZI WA KATA YA MWIGOBERO NAYE ALIKUWEPO WAKATI WA ZOEZI LA KUKABIDHI VIFAA
JAMAA KUTOKA BWERI NAO WALIPATA JEZI BAADA YA KILA TIMU KUKABIDHIWA MIPIRA MIWILI YA KISASA KWAAJILI YA MAANDALIZI
KATA YA NYASHO WAKIPOKEA JEZI
KIONGOZI WA BUHARE
KAMNYONGE
VIONGOZI WA TIMU ZA KATA 13 ZA MANISPAA YA MUSOMA ZINAZOSHIRIKI MATHAYO CUP WAKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA BAADA YA KUPOKEA JEZI SETI 2 KWA KILA TIMU
MASHABIKI WAKIFATILIA MCHEZO WA UFUNZI KATI YA KIGERA NA MWISENGE AMBAPO KATIKA MCHEZO HUO KIGERA ILISHINDA 5-1
TIMU ZIKIINGIA UWANJANI
MGENI RASMI KATIBU WA CCM MKOA WA MARA Mr.NGALAWA AKIKAGUA TIMU YA MWISENGE
HAPA AKIIKAGUA TIMU YA KIGERA KABLA YA KUANZA MCHEZO
HUTUBA YA UFUNGUZI KUTOKA KWA MGENI RASMI
KIKOSI CHA TIMU YA MWISENGE
KIKOSI CHA TIMU YA KIGERA

Post a Comment