0
MKURUGENZI WA KANDA WA KAMPUNI YA MAWASILIANO YA SIMU ZA MKONONI YA TIGO,ALLY MASWANYA,AKIZUNGUMZA MARA BAADA YA KUKABIDHI MSADAA WA MAGODORO,SHUKA NA BRANKETI KATIKA HOSPITALI TEULE YA WILAYA YA RORYA)KMT)KATIKA MJI MDOGO WA SHIRATI

MUUZI MKUU AKITOA NENO LA SHUKRANI BAADA YA MSAADA KUTOKA KAMPUNI YA SIMU YA TIGO

MGANGA MFAWIDHI WA HOSPITALI,BWIRE CHIRANGI(KULIA) AKIPOKEA GODORO KAMA SEHE YA MAGODORO 38 YALIYOTOLEWA NA KAMPUNI YA TIGO




MGANGA MFAWIDHI AKITOA SHUKRANI
PICHA YA PAMOJA NA WAUGUZI
MSAADA ULIOTOLEWA UNAPATA MAOMBI

Post a Comment