0


CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)MUSOMA MJINI,KIMESEMA HAKITARUDIA UCHAGUZI WA MITAA MIWILI SIKU YA KESHO KWA KUWA ILISHINDA KWENYE MITAA HIYO NA HAINA SABABU YOYOTE YA KURUDIA UCHAGUZI HUO.

KATIKA TAARIFA YAKE KWA VYOMBO VYA HABARI,KATIBU WA CCM WILAYA YA MUSOMA ,JACOB NKOMOLA AMESEMA MTAA WA KITAJI D PAMOJA NA ZANZIBAR ULIOPO KATA YA MAKOKO WALISHINDA NA KUSHANGAZWA NA KAULI YA MKURUGENZI KUTAKA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KWENYE MITAA HIYO BILA SABABU ZA MSINGI.

AMESEMA WANASHANGAZWA NA TAARIFA ZA KURUDIWA KWA UCHAGUZI HUO NA KUDAI KAMWE HAWATASHIRIKI NA WANACHOKITAKA NI MKURUGENZI HUYO KUTANGAZA MATOKEO KAMA YALIVYOKUWA.

Post a Comment