WAZEE WAKIJADILI KABLA YA KUWASILISHA BARUA YA KUMUOMBA RAIS KIKWETE ASIMUONDOE WAZIRI MUHONGO KWENYE WIZARA YAKE
TUNAKUOMBA RAIS
BARUA YA WAZEE WA MUSOMA KWENDA KWA RAIS INASOMWA
WAZEE katika
Manispaa ya Musoma wamemuomba Rais Jakaya Kikwete kuangalia kwa makini na
kutafakari kabla ya kuchukua maamuzi ya kumuondoa Waziri Muhongo kwenye nafasi
ya ya Waziri wa Nishati na Madini.
Katika barua
yao waliyoiwakilisha kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mara kwenda kwa Rais,wazee
hao walisema Waziri Muhongo hatajwi sehemu yoyote juu ya sakata la uchotwaji wa
fedha za Escrow na amefanya kazi kubwa kwenye wizara yake.
Walisema
wanamuamini Rais kikwete hivyo atatumia busara kubwa kutoa maamuzi juu ya
mapendekezo yaliyotolewa na wabunge.
Post a Comment
0 comments