0
KADA wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Profesa Sospeter Muhongo,anatarajiwa kurudisha fomu wiki hii baada ya kukamilisha zoezi la kusaka wadhamini kwa kuhitimisha mkoani Mara na kufika Butiama eneo la Mwitongo na kukutana na Mamama Maria Nyerere ambaye alifanya nae mazungumzo juu ya adhima yake ya kuomba kuwa mgombea wa urais kupitia chama hicho.

 Profesa Sospeter Muhongo baada ya kusalimiana na Mama Maria Nyerere alikwenda kuweka shada la maua kwenye Kaburi la Baba wa Taifa mwalimu Julius Nyerere na kupata picha ya pamoja na wafanyakazi wa makumbusho ya Butiama
 Baadae alipanda kwenye mlima uliopo karibu na alipozikwa Mwalimu Nyerere

 Muhongo akiwa na Mama Maria Nyerere


 Hapa akiteta jambo na Chief Japhet Wanzagi



Post a Comment