0
 MAKADA watatu wa Chama cha Mapinduzi(CCM) leo wamefika mjini Musoma kwa lengo la kupata wadhamini kwaajili ya kudhaminiwa kugombea nafasi ya urais kupitia chama hicho huku kila mmoja akitoa shukurani kwa wale waliojitokeza kuwadhamini na kuonyesha imani kwao katika safari ya kuelekea Ikulu
 Profesa sospeter Muhongo akiwa na Yahaya Saidi Magera aliyejitokeza kumdhamini
 Mwanachama huyu mwenye asili ya Asia naye alijitokeza kumdhamini Muhongo
 Muhongo akikabidhiwa fomu baada ya kudhamainiwa
 baadae alitoa shukrani
 baada ya hapo alifika Razalo Nyalandu ambaye pia alidhaminiwa na kutoa shukrani kwa waliojitokea kumdhaamini
 akafika Benald Membe ambaye baada ya kutua uwanja wa ndege alikwenda kumsalimia Mzee Helmani Kirigini,Waziri wa zamani kwenye Serikali ya awamu ya kwanza,hapa alipokelewa na mtoto wake Paul Kirigini
 Baada ya kutoka VIP ya uwanja wa ndege na kuteta kidogo yafari ilianza
 nyumbani kwa mzee Kirigini

Post a Comment