0
KAMPENI ZA KUMPATA MGOMBEA UBUNGE WA JIMBO LA MUSOMA MJINI KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) ZITAHITIMISHWA HII LEO KATA MWIGOBERO AMBAPO WAGOMBEA 10 WALIOOMBA NAFASI HIYO WAKIENDELEA KUJINADI KWA KUWAOMBA WANACHAMA WA CHAMA HICHO KUWACHAGUA ILI KUWEZA KUENDELEA KUWATUMIKIA BAADA YA KUDAI JIMBO LA MUSOMA BADO LINA CHANGAMOTO NYINGI ZA KUWALETEA MAENDELEO WANANCHI.

 MGOMBEA DEUS MUNASA AKIWA KARIBU NA PAUL KIRIGINI
 DEUS MUNASA AKIOMBA KURA JUKWAANI

 PAUL KIRIGINI AKIWAOMBA KURA WANA- CCM
 VEDASTUS MATHAYO AKIENDA JUKWAANI KUOMBA KURA

 MSHINDI WA PILI VITI MAALUMU UBUNGE MUSOMA MJINI AKIFATILIA MKUTANO
 CHIRANGI AKIWA NA JUMA MOKILI
 MATHAYO AKIFATILIA MKUTANOPost a Comment