0
 MGOMBEA uubunge wa Jimbo la Bunda mjini,Esther Bulaya,amezindua kampeni zake kuelekea uchaguzi wa mwezi oktoba katika mkutano uliofanyika kwenye uwanja wa stendi ya zamani mjini Bunda na kuhudhuriwa na maelfu ya wananchi ambapo amesema moja ya vipaumbele vyake ni kuhakikisha kila mwanafunzi anayemaliza elimu ya msingi na mzazi au mlezi hana gharama za kumsomesha elimu ya sekondari atahakikisha anashirikiana na marafiki zake wa ndani na nje ya nchi ili kila mmoja aweze kupata elimu.
 Bulaya akiingia uwanjani
 kutoka kushoto,Esther Matiko,Halima Mdee,Ezekiel Wenje na Bulaya
 Frola Mbasha akitumbuiza huku Bulaya akicheza na wapiga kura
 Wananchi wakifatilia mkutano

 Bibi akionyesha ishara ya mabadiliko

 Wazee wa Bunda wakimbaliki Esther Bulaya
 Sehemu ya umati wa wananchi
 Wenje akiwanadi wagombea udiwani Jimbo la Bunda
 Bibi wa Esther Bulaya akimuombea kura
 Bulaya akizungumza na wananchi wa Jimbo la Bunda
Post a Comment