0

 MGOMBEA WA NAFASI YA UDIWANI KATA YA NYASHO KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) KATA YA NYASHO KATIKA MANISPAA YA MUSOMA,HAJI MTETE,AMEWAOMBA WANANCHI WA KATA HIYO KUMCHAGUA OKTOBA 25 ILI AWEZE KUSHIRIKIANA NAO KULETA MAENDELEO NA KUIFANYA KATA YA NYASHO KUWA KATA YA KIUCHUMI KWA KUJENGA SOKO LA KISASA.

AKIZUNGUMZA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI ULIOFANYIKA ENEO LA KIBINI,MTETE ALISEMA ANAYO NIA THABITI YA KUWATUMIKIA WANANCHI WA KATA HIYO NA KUWAOMBA KUMUAMINI NA KUMCHAGUA ILI AWEZE KUIBADILISHA KATA HIYO


 WANANCHI WA NYASHO WAKIFATILIA MKUTANO HUO
 HAJI MTETE AKIOMBA KURA KWA WANANCHI

 WANANCHI WAKIFATILIA MKUTANO

Post a Comment