0


MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Bunda mjini,Ester Bulaya (Chadema) amedhaminiwa jioni ya leo kituo cha polisi mjini Musoma baada ya kukamatwa siku ya jana mjini Bunda kwa kile kilichodaiwa kutaka kuvamia kituo cha polisi huku akidai hizo ni changamoto na haziwezi kumkatisha tama katika shughuli za kisiasa

 Bulaya (katikati)akiwa nje ya kituo cha polisi Musoma baada ya kudhaminiwa

 Akisalimiana na wanachama wa Chadema nje ya ofisi za chama hicho mjini Musoma

Post a Comment