0
 BENKI YA CRDB TAWI LA MUSOMA,IMEENDELEA KUTOA HUDUMA MBALIMBALI KWA WATEJA WAKE KATIKA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA NA KUENDELEA KUAHIDI KUWAHUDUMIA WATEJA WAKE KWA KUWALETEA HUDUMA AMBAZO ZITAWAFANYA KUPATA MAHITAJI YA KIBENKI HATA WANAPOKUWA NYUMBANI KWA KUTUMIA SIMU YAMKONONI HKU WATEJA WANAOFIKA KWENYE BENKI HIYO WAKIUNGANISHWA NA HUDUMA YA SIMU BANK BURE
 WATOIA HUDUMA WAKIENDELEA KUTOA HUDUMA


 MTEJA AKIHUDUMIWA HUKU AKIPATA SODA NA MAYAI KUTOKA BENKI YA CRDB TAWI LA MUSOMA
 HUDUMA ZIKIENDELEA HUKU MTEJA AKIPATA BAGA

Post a Comment