0
 MGOMBEA MWENZA WA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,MAMA SAMIA SULUHU HASAN,AKITOA HESHIMA ZA MWISHO KWA SYLVANUS MANYINYI,AMBAYE NI  MTOTO WA MGOMBEA UBUNGE WA JIMBO LA MUSOMA MJINI,VEDASTUS MATHAYO MANYINYI,ALIYEFARIKI KUTOKANA NA UGONJWA WA KANSA YA MFUKO WA NYONGO AMBAPO KUFUATIA MSIBA HUO,AMETOA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU NA WAKAZI WA MUSOMA AMBAO WAMEMPOTEZA NDUGU YAO NA KUWAOMBA KUWA WAVUMILIVU NA WASTAHIMILIVU KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU CHA MSIBA.
 MWILI WA MAREHEMU UKITOLEWA NDANI KWAAJILI YA IBADA YA MAZISHI
WAOMBOLEZAJI WAKIWA MSIBANI

 NENDA KAPUMZIKE KAMANDA


 MENEJA WA TANRODS MKOA WA MARA,EMANUEL KOROSO AKITOA HESHIMA ZA MWISHO
 WAOMBOLEZAJI WAKITOA HESHIMA ZA MWISHO

 MGOMBEA UBUNGE WA JIMBO LA MUSOMA MJINI,VEDASTUS MATHAYO AKITOA HESHIMA ZA MWISHO

 MKE WA MAREHEMU AKITOA HESHIMA ZA MWISHO

 MAMA WA MAREHEMU AKILIA KWA UCHUNGU
 BABA WA MAREHEMU AKITOA HESHIMA ZA MWISHO

 MAMA SAMIA AKIWA NA WAOMBOLEZAJI MSIBANI
 MATHAYO AKITOA SHUKRANI KWA WAOMBOLEZAJI WALIOFIKA KUWAFARIJI
 MAMA SAMIA AKITOA POLE KWA WAFIWA

Post a Comment