0
 MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA,LUCY MSOFE,AMEMTANGAZA ESTER BULAYA KUPITIA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO(CHADEMA) KUWA MBUNGE WA JIMBO LA BUNDA MJINI BAADA YA KUPATA KURA 28506 NA KUMSHINDA ALIYEKUWA MGUNGE WA JIMBO HILO KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM,STEPHINE WASIRA,AMBAPO WAFUASI WA CHAMA CHA CHADEMA WALITENGENEZA MFANO WA JENEZA NA KULIFUNIKA BENDERA YA CCM.
 ASKARI POLISI WAKIANGALIA USALAMA KABLA YA KUTANGAZA MATOKEO
 
 MSHINDI WA UBUNGE JIMBO LA BUNDA VIJIJINI KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI AKIINGIA OFISI YA MKURUGENZI HUKU AKIPISHANA NA WAFUASI WA CHADEMA WALIOKUWA WAKISUBILI MATOKEO YA BULAYA.
 WAKALA WA BULAYA AKISAINI MATOKEO
 BULAYA AKISAINI MATOKEO

Post a Comment