0

 WANAWAKE WAFANYABIASHARA KWENYE MASOKO YA MJINI MUSOMA WAKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA VIONGOZI WA HALIMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA BAADA YA UFUNGUZI WA KONGAMANO LA KWANZA KWAAJILI YA KUJADILI MASUALA MBALIMBALI PAMOJA NA CHANGAMOTO WANAZOKUTANA NAZO KWENYE BIASHARA ZAO LILILOANDALIWA NA SHIRIKA LA EQUALITY FOR GROWTH(EFG)KUTOKA JIJINI DAR ES SALAAM.BAADHI YA WANAWAKE WAMEDAI KONGAMANO HILO LITAWASAIDIA KUFAHAMU MAMBO YA MASOKO NA NAMNA YA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO WANAZOZIPATA


 KAIMU MKURENGENZI WA MANISPAA YA MUSOMA,MUYABI MSIRANGA AKIFUNGUA KONGAMANO HILO

 WAWEZESHAJI WAKIFURAHIA JAMBO UKUMBINI HAPO
 MKURUGENZI AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA WAWEZESHAJI
 MMOJA WA WASHIRIKI KUTOKA SOKO KUU LA MUSOMA AKIZUNGUMZIA CHANGAMOTO WANAZOPATA
 KAIMU MKURUGENZI WA SHIRIKA LA (EFG)LINALOENDESHA KONGAMANO HILO AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI
 MMOJA WA WAFANYABIASHARA KUTOKA SOKO LA ILALA JIJINI DAR ES SALAAM,AKIELEZEA NAMNA WALIVYONUFAIKA NA MIPANGO YA (EFG)KWA KUWASAIDIA WANAWAKE WANAOFANYA BIASHARA KWENYE MASOKO
 BAADA YA UFUNGUZI ULIFIKA WAKATI WA CHAI

Post a Comment