0

     Muonekano wa jukwaa kwaajili ya live band

 Kiota kipya cha burudani kinafunguliwa hivi karibuni musoma kupitia New Space Entertainment kwaajili yua chakula cha kila aina,live band pamoja na burudani za kila aina,mkao wa kusubili,kwa mawasiliano ya kuboresha kwa mkurugenzi,0767531731
 Sehemu ya wateja kukaa na kupata chakula na burudani

 
Wakurugenzi wakiendelea na maandalizi kwaajili ya uzinduzi rasmi tarehe 27 mwezi wa 11 ambapo burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali akiwemo Shetta"Shikorobo" pamoja na live band ikipiga zilipendwa  
 Muonekano wa kiota kipya
Hapa itakuwa ni kujiegesha

Sehemu ya jiko kwaajili ya chakula pembeni kaunta
 Kaunta inaandaliwa

Post a Comment