0
ILIYOFANYIKA VIWANJA VYA SHULE HIYO KATA YA KITAJI MANISPAA YA MUSOMA  WAHITIMI WAKIFANYA IGIZO LA KUSWALI RAKAA MBILI KWA KUSOMA QURUAN NA DUA ZOTE ZINAZOHUSU IBADA AMBAPO KWENYE SHULE HIYO PEKEE YA KIISLAM ILIYOPO MUSOMA,LICHA YA KUFUNDISHWA ELIMU YA DUNIA PIA WANAFUNDISHWA MASUALA YA DINI NA NAMNA YA KUFANYA IBADA NA WATOTO HAO WALIONYESHA UWEZO MKUBWA WA KUMUDU ELIMU YA DUNIA NA AKHERA NA KUSHANGILIWA NA WAZAZI WALIOHUDHURIA MAHAFALI HIYO
 NASSARY ONE WAKIWAAGA WENZAO KWA FURAHA

 WENZAO KUTOKA IMAM SHAFI PREMARY WAKISOMA SHAIRI KWA QURUAN
 WAHITIMU MARAFIKI
 WAZAZI WAKIWA NA WATOTO KWENYE MAHAFALI
 KEKI PIA ILIHUSIKA

 MAHAJAT VYETI NI HAKI YAO
 ZAWADI PIA ZILIKUWEPO

 NI FURAHA ILIYOJE

Post a Comment