0


 ASKARI POLISI KITENGO CHA DAWATI LA JINSIA MUSOMA WAKIONGOZA MAANDAMANO YA UZINDUZI WA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA NA WATOTO ULIOZINDULIWA NA MKUU WA POLISI WILAYA YA MUSOMA,ZEROTHE STEPHINE,AMBAYE ALITOA WITO KWA KILA MWANAJAMII KUHAKIKISHA ANAKUWA BALOZI WA MAPAMBANO DHIDI YA UKATILI WA KIJINSIA BILA KUSUBILI KAZI HIYO IFANYWE NA ASKARI POLISI KWA KUWA JUKUMU HILO NI LA KILA MMOJA
 WATOTO WAKIWA NA MABANGO YAKUPINGA UKATILI


 MGENI RASMI AKIFATILIA JAMBO


 DADA ZUHURA AKISOMA RISALA

Post a Comment