0
 MSANII WA KIZAZI KIPYA,SHHETTA A.K.A.BABA QAYLA,AMETUA MJINI MUSOMA KWAAJILI YA KUSINDIKIZA UZINDUZI WA UKUMBI MPYA WA KISASA WA DREAM GARDEN RESORT UNAOZINDULIWA LEO IUJUMAA KUANZIA MAJIRA YA SAA 2 USIKU AMBAPO LICHA YA MSANII HUYO KUFANYA YAKE KWENYE UKUMBI HUO ULIOPO KARIBU NA GEREZA LA MUSOMA BARABARA YA MKENDO,MKURUGENZI WA UKUMBI HUO ABASI CHAMBA,AMESEMA WAPENZI WA BURUDANI WATAKUTANA NA LIVE BAND ITAKAYOPIGA KILA NYIMBO ZA SASA NA ZAMANI BAADA YA KUIWASILI KWA WANAMUZIKI WA BAND KUTOKA MIKOA TOFAUTI.

KIINGILIO KITAKUWA SHILINGI 7000 NA V.I.P.20000 HUKU VINYWAJI NA VYAKULA VYA KILA AINA VIKIPATIKANA KWA GHARAMA YA KAWAIDA ITAKAYOMFANYA KILA MMOJA KU-ENJOY............................
 
 SHETA KATIKA MATUKIO TOFAUTI


 MONEKANO WA KAUNTA NDANI YA DREAM GARDEN RESORT
 DJ,ALLY KOKO AKISET SOUND KWENYE JUKWAA
 MANDHARI IKIENDELEA KUPAMBWA

 TAA ZIKIWEKWA SAWA
 SHETTA AKIKAGUA SOUND NA MA DJ,ALLY MEGGA STAR NA DJ DULLAH,HAPO CHINI NI MAMBO YA LIVE BAND,TOROKA UJEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Post a Comment