0
 MKUU WA WILAYA YA MUSOMA,ZELOTHE STEPHINE,AMETOA MAELEKEZO YA KUFUNGWA KWA NYUMBA YA KULALA WAGENI YA KEMONDO ILIYOPO MANISPAA YA MUSOMA KUTOKANA NA KUWA KWENYE MAZINGIRA MACHAFU WAKATI ALIPOFANYA ZIARA KWENYE KATA YA IRINGO IKIWA NA LENGO LA KUHAMASISHA USAFIU WA MAZINGIRA KATIKA KUPAMBANA NA UGONJWA WA KIPINDUPINDU.

KUFUATIA MAELEKEZO HAYO YA MKUU WA WILAYA,DIWANI WA KATA YA IRINGO,JUMA HAMISI(IGWEEE) AMEUNGA MKONO MAAGIZO HAYO NA KUDAI MAPAMBANO DHIDI YA MLIPUKO WA KIPINDUPINDU HAUTAFANIKIWA IWAPO HATUA MADHUBUTI ZA KUPAMBANA HAZITACHUKULIWA.
 MEYA WA MANISPAA YA MUSOMA,PATRICK GUMBO(KUSHOTO,AKIWA NA DIWANI IGWEE(KATIKATI)NA MKUU WA WILAYA WAKATI WALIPOFANYA ZIARA YA PAMOJA KUANGALIA USAFI WA MAZINGIRA KATA YA IRINGO
 MKUU WA WILAYA AKITOA MAELEKEZO JUU YA SHIMO LILILOKUTWA WAZI
DIWANI IGWE AKIANGALIA SHIMO AMBALO LIKO WAZI NYUMA YA GUEST YA KEMONDO

  MKUU WA WILAYA NA WATENDAJI WA KATA YA IRINGO WAKIFATILIA USAFI KWENYE GUEST YA KEMONDO
 VITANDA VYA GUEST ILIYOFUNGIWA

 DIWANI IGWE AKIWA MDANI YA GUEST ILIYOFUNGIWA
 SEHEMU YA UCHAFU ULIOKUTWA KATA YA IRINGO
 MKUU WA WILAYA AKIANGALIA MFEREJI UNAOTOA MAJI KWENYE MIJI NA KUPELEKA ZIWANI
 MAELEKEZO YANAENDELEA
 CHOO HIKI BOMBA LAKE HAKUNA SHEMO LINAKOINGIA
 NI KAMA ANASEMA JAMANI TUSAIDIANE
 HASIRA!


Post a Comment