0
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) imemwaga zawadi ya zaidi ya shilingi milioni10 kwa washindi mbalimbali mashindano ya mitumbwi kupitia bia ya Balimi ambapo timu zaidi ya 30 za wanaume na wanawake zilikuwa zikichuana kwenye ufukwe wa bwalo la polisi uliopo mjini Musoma na kuhudhuliwa na mashabiki wengi,walioshuhudia timu ya Benedictor Chamba kutoka bwai wakiibuka mabingwa kwa upande wa wanaume na kujinyakulia shilingi milioni 1 na laki 2 huku timu ya wanawake ya Elizabeth Marani kutoka Nyarusurya wakiwa mabingwa na kujinyakulia kitita cha milioni 1


Wanaume wakipambana na makasia

Maandalizi ya kuanza mashindano
Meneja mauzo wa TBL mkoa wa Mara,Polycalip Makunja akihesabu kuashiria kuanza mashindano
kazi imeanza
Ajali pia zilihusika lakini huduma ya uhokozi ilikuwepo
burudani ni sehemu ya kunogesha
majaji wakiwa kazini
Mgeni rasmi RPC wa mkoa wa Mara,Philip Kalangi(katikati)akiwa na meneja mauzo wa kanda,Changwe,(kulia)na meneja mauzo wa mkoa wa Mara,Poly,kushoto,waakifatilia mashindano.
Timu kutoka baruti wakishangilia kuingia tano bora laundi ya kwanza

washindi upande wa wanawake wakimaliza mashindano na kushangiliamabingwa upande wa wanaume wakimaliza mashindano
nahodha wa timu ya wanaume akijipoza na maji baada ya kumaliza mashindano
wakati wa kutoa zawadi
kiongozi wa timu ya wanawake akikabidhiwa kikombe na milioni 1
picha ya pamoja na washindi wanawake
bingwa upande wa wanaume akikabidhiwa kikombePost a Comment