0

KAMPUNI YA VINYWAJI YA MEGATRADE YA MKOANI ARUSHA KUPITIA KINYWAJI CHAKE CHA K-VANT,IMETOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI KWA KITUO CHA KUTUNZA WATOTO CHA CHRDLEN'S OF HOME KILICHOPO BWERI MANISPAA YA MUSOMA KAMA SEHEMU YA SHUKRANI NA KUSHEREKEA SIKUKUU YA CRISMAS NA MWAKA MPYA.


Add caption
 ALISEMA WAMEGUSWA NA KITUO HICHO AMBACHO KINA WATOTO WADOGO AMBAO WANAHITAJI MSAADA WA KILA MMOJA NA KUTOA WITO KWA KILA MMOJA KUGUSWA NA KUAMUA KUSAIDIA.
 
MISAADA ILIYOTOLEWA NA KAMPUNI HIYO NI MAFUTA YA KUPIKIA NA KUPAKA,SUKARI,UNGA WA SEMBE,MAHARAGE,JUICE PAMOJA NA CHUMVI ILI VIWEZE KUSAIDIA HUDUMA KWENYE KITUO HICHO.
 MISAADA MBALIMBALI IKISHUSHWA KWENYE GARI


 MENEJA WA KAMPUNI YA MEGATRADE MKOA WA MARA,MR.GEORGE AKIPANGA MISAADA ILIYOTOLEWA KABLA YA KUKABIDHIWA
 MISAADA ILIYOTOLEWA KWAAJILI YA KITUO CHA WATOTO

 WATOTO WAKIWA PAMOJA NA WATOA MISAADA

 MMILIKI WA BLOG YA SHOMMI B BLOG PIA ALISHIRIKI ZAOZI KAMA BALOZI

 WATOTO WAKIFURAHIA JUICE
 MSIMAMIZI WA KITUO HICHO,MAMA DANIEL,ALIISHUKURU KAMPUNI HIYO KWA MSAADA WALIOWAPATIA NA KUDAI NI MSAADA MKUBWA KWAO AMBAO UTASAIDIA KUWAHUDUMIA WATOTO.

Post a Comment