0

WASANII CHRISTIAN BELLA,TUNDA MAN NA KASSIM MGANGA,MWISHONI MWA WIKI WALITOA BURUDANI YA AINA YAKE MJINI MUSOMA WALIPOKUWA WAKISINDIKIZA UFUNGUZI WA HOTEL MPYA YA KISASA YA LE GRAND VICTORIA HOTEL ILIYOPO BARABARA YA KENNEDY NA KUMSHUKURU MKURUGENZI WA HOTEL HIYO,RAMADHANI MSOMI KWA KUWAUNGANISHA NA WAKAZI WA MUSOMA KWAAJILI YA KUSHIRIKI UZINDUZI HUO
 DIWANI WA IRINGO,IGWEE MSUTO PIA ALIKUWEPO KWENYE UFUNGUZI


 TUNDA MAN AKITOA BURUDANI KWA WAGENI
 WATU MBALIMBALI WALIALIKWA
 WENGINE WALIFURAHIA WAKIWA NJE YA GETI
 NI BURUDANI TU
 BELLA AKITOA BURUDANI

 CHIEF KIUMBE,RAMA MSOMI,MTEMI ZUMBE NA WAGENI WENGINE WAKIPATA BURUDANI


 MKURUGENZI RAMA MSOMI(ALIYEWEKA MIKONO JUU) KATIKATI AKIWA NA WAGENI WAKIPATA BURUDANIPost a Comment