0
KAMPUNI YA MTANDAO WA SIMU YA MKONONI YA TIGO,IMEFUNGUA DUKA JIPYA LA KISASA KATIKATI YA MJI WA MUSOMA KWAAJILI YA KUTOA HUDUMA ZOTE KWA WATEJA WAKE PAMOJA NA KUUZA SIMU ORIGINAL KWA BEI NAFUU HUKU WITO UKITOLEWA NA MKUU WA WILAYA YA MUSOMA,ZELOTHE STEPHINE,AKITOA WITO KWA WANANCHI KUUNGA MKONO MTANDAO WA TIGO KWA KUWA UMEKUA MSTARI WA MBELE KWA HUDUMA BORA ZA MAWASILIANO NA KUCHANGIA MAHITAJI YA KIJAMII KWA KUTOA SEHEMU YA FAIDA KATIKA KUSAIDIA JAMII AENEO MBALIMBALI.

HAPA SIO RED CARPERT NI BLUE CARPERT LA TIGO


 NI KUJIACHIA
 SIMU KAMA HIZI ZINAPATIKANA DUKA LA TIGO KWA BEI NAFUU
 BAADA YA UZINDUZI WA DUKA BAADAE
 MENEJA WA TIGO MKOA WA MARA,EDWIN KISAMO AKIZUNGUMZIA HUDUMA ZA TIGO ZINAZOTOLEWA KWENYE DUKA JIPYA MUSOMA
SISTER BITRECE KUTOKA TIGO AKIUELEZEA MTANDAO HUO NA HUDUMA ZAKE

 MASWALI NA ZAWADI ZILITOLEWA MKONGWE Q CHIEF AKITOA BURUDANIPost a Comment