0
 MIAKA 54 YA UHURU HII LEO IMEADHIMISHWA KWA KUFANYA KAZI ZA USAFI KAMA ALIVYOAGIZA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI NA KUTAKA FEDHA ZILIZOKUWA ZIMETENGWA KWAAJILI YA SHEREHE HIZO KWENDA KUFANYA KAZI YA UPANUZI WA BARABARA JIJINI DAR ES SALAAM KUEPUSHA FULENI

MBUNGE WA JIMBO LA BUNDA MJINI KUPITIA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA,ESTER BULAYA,AMESHIRIKI ZOEZI LA KUFANYA USAFI NA WANANCHI WA JIMBO HILO MAPEMA ASUBUHI KWA KUANZIA ENEO LA NYAMAKOKOTO YALIKO MACHINJIO KWAAJILI YA KITOWEO NA BAADAE KUFANYA MAENEO TOFAUTI YA JIMBO HILO
 MHESHIMIWA BULAYA AKISAFISHA MTARO ENEO LA MACHINJIO

 HAPA ALIKUWA AKISHIRIKI KUFYEKA NYASI
 WANANCHI NAO WALISHIRIKI

 HAPA NI KUFANYA KAZI TU!
 NDANI YA SOKO LA MJINI BUNDA AKIANGALIA ENEO LA DAMPO LA SOKO LIKIWA LIMETOLEWA UCHAFU WOTE
 AKITEMBELEA SOKONI KUANGALIA USAFI KAMA UPO SAWA
 CHINI NI NDANI YA OFISI YA MBUNGE MARA BAADA YA KUMALIZIKA KWA USAFI

Post a Comment