1
NAIBU WAZIRA WA ARDHI NYUMBA NA MAKZI,ANGELINA MABULA,AMEANZA ZIARA YAKE MKOANI MARA KWA KUTEMBELEA MIRADI YA SHIRIKA LA NYUMBA(NHC) MKOANI MARA NA KUSIFU MIRADI INAYOTEKELEZWA KWA KUWA INA LENGO LA KUWASAIDIA WANANCHI ZIKIWE NYUMBA 50 ZINAZOJENGWA KATIKA ENEO LA BUHARE KWA AJILI YA MAKAZI YA WANANCHI
NAIBU WAZIRI AKIPATA MAELEZO KUTOKA KWA MENEJA WA NHC MKOA WA AMARA,FRENK MAMBO,(KUSHOTO) PAMOJA NA MKANDARASI WA JENGO LA GHOROFA 5 LILILOPO KATIKATI YA MJI WA MUSOMA KWAAJILI YA SHUGHULI ZA KIBIASHARA NA OFISI MBALIMBALI
MENEJA NHC AKIONYESHA ENEO LA GHOROFA
NAIBU WAZIRI AKITEMBELEA JENGO HILO

MENEJA AKITOA MAELEZO
HAPA ANAKWENDA KUTEMBELEA NYUMBA 50 ZILIZOPO BUHARE ZINAZOJENGWA NA SHIRIKA HILO KWAAJILI YA MAKAZI
SEHEMU YA NYUMBA 50
AKIINGIA NDANI YA NYUMBA HIZO

MENEJA AKITOA MAELEZO NDANI YA NYUMBA


BAADA YA KUTEMBELEA NYUMBA ILIKUWA FURSA YA KUZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI


Post a Comment