0
 BAADA YA USIKU WA JANA MSANII KASSIM MGANGA KUFANYA BONGE LA SHOW NA KUKIDHI HAJA ZA WAKAZI WA MUSOMA NDANI YA UKUMBI WA DREAM GARDEN RESORT,LEO KATIKA SIKU YA VALENTINE DAY KUTAKUWA NA LIVE BAND ITAKAYOHUSIKA NA NYIMBO ZA MAHABA HUKU UONGOZI WA UKUMBI HUO UKIANDAA ZAWADI KWA WAPENDANA NAO WATAKAOKUWA WAMEPENDEZA ZAIDI IKIWA NI PAMOJA NA KULALA KWENYE HOTEL YENYE HADHI YA JUU YA LE GRAND VICTORIA HOTEL NA KUPATA CHAKULA CHA USIKU AKIPENDACHO HUKU MWANAMKE ATAKAYEKUJA AMETENGENEZA NYWELE VIZURI ZAWADI PIA ITAMUHUSU.

KIINGILIO DOBLE NI SHILINGI ELFU 10 HUKU SINGLE AKIINGIA KWA ELFU 7000.

KWA MUSOMA HAPA NDIO MAHALA SAHIHI PA KUTOKEZEA KUJA KUBADILISHANA MAWAZO

 KASSIM MGANGA AKIFANYA YAKE KWENYE SHOW YA USIKU WA JANA NDANI YA DREAM
Post a Comment