0
 MWISHONI MWA WIKI TIMU YA WAKONGWE YA BIASHARA UNITED YENYE MASKANI YAKE MANISPAA YA MUSOMA ILIFANYA ZIARA YA MCHEZIO WA KIRAFKI WILAYANI BUTIAMA KAMA SEHEMU YA KUJENGA MAHUSIANO NA TIMU NYINGINE ZA WILAYANI,LAKINI KABLA YA KUFIKA BUTIAMA MOJA YA GARI LA MOJA YA WACHEZAJI WA TIMU HIYO AMBALO PIA LILIKUWA LIKIELEKEA HUKO KWA SHUGHULI ZA MASOKO LILIPASUKA TAIRI NA MAFUNDI WALIOKUWA KWENYE MSAFARA KULITENGENEZA
 BAADA YA KUFIKA BUTIAMA SHUGHULI YA MWALIMU AMANI RICHAR KUPANGA KIKOSI CHAKE ILIANZA
 KABLA YA MECHI KUANZA VITUKO VILIANZIA HAPA MVINYO WA K.VANT ULIPOANZA KUTUMIKA
HIKI NDIO KIKOSI CHA BIASHARA UNITED KILICHOANZA NA BAADAE KUIBUKA NA USHINDI WA MABAO 4-0
BAADA YA USHINDI KUANZA KUPATIKANA SHABIKI HUYU WA TIMU YA BIASHARA ALIINGIA UWANJANI WAKATI MCHEZO UKIENDELEA NA KUFUKUZWA ILI AWEZE KUTOLEWA UWANJANI

 MWENYEKITI WA TIMU YA BIASHARA NAE ALIINGIA UWANJANI KWA FURAHI LAKINI HAKUGUSWA KAMA SHABIKI ANAYEONEKANA HAPO JUU
 K.VANT ILIENDELEA KUSHIKA HATAMU WAKATI MECHI IKIENDELEA SI UNAJUA PIA ILIKUWA WIKENDI
 DOMMY MKONO MOJA YA WACHEZAJI WA BIASHARA AMBAYE JANA HAKUWA KWENYE ORODHA YA MWALIMU KUMTUMIA AKIENDELEA KUTUMIA MVINYO
 WADAU WAKIENDELEZA VITUKO,YANA KAMA WANATETA JAMBO
 WAKATI WA MAPUMZIKO

 NJE HUKU WACHEZAJI NA MASHABIKI WANAENDELEA NA MAMBO YAO

 KOCHA AMANI MWENYE JEZI NAMBA 2 AKISHANGILIWA BAADA YA KUFUA BAO LA 4


 MFUNGAJI WA MABAO 2 KWENYE USHINDI WA 4-0,GEORGE K.VANT AKIWEKA KIATU SAWA

 GEORGE AKISHANGILIWA BAADA YA KUFUNGA MOJA YA BAO
                               LUKELO BAADA YA KUFANYIWA SUB ALIENDELEA NA MVINYO

 WDADA WA BIASHARA PIA WALIKUWEPO
 KOCHA AMANI AKIELEKEZA
 MSHIKEMSHIKE UWANJANI

Post a Comment