0
 MABINGWA WA SOKA MKOA WA MARA TIMU YA IGWEE FC,JUMAPILI YA LEO IMEFIKA KANISA KUU LA ANGLICANA MUSOMA MJINI KWAAJILI YA KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTWAA UBINGWA WA MKOA WA MARA NA KUOMBEWA MAOM BI NA KANISA KWAAJILI YA KUFANYA VIZURI KATIKA HATUA NYINGINE ZITAKAZOFUTA IKIWEMO LIGI YA MABINGWA WA MIKOA ITAKAYOANZA HAPO BAADAE
  KOCHA SOSPETER CHALRES,MWENYE TAI AKIWA NA WACHEZAJI WAKE KATIKA KUMSHUKURU MUNGU KWA KUWAWEZESHA KUWA MABINGWA WA MKOA WA MARA
IBADA IKIENDELEA NDANI YA KANISA

 MCHUNGAJI AKIONGOZA SALA

 KOCHA AKITOA NENO LA SHUKRANI MBELE YA MAZABAHU
 NENO LIKIENDELEA MBELE YA KIONGOZI WA IBADA

 UNYENYEKEVU MBELE ZA MUNGU


 HONGERENI SANA
 MCHUNGAJI AKIWAONESHA WAUMINI KOMBE

 KWAYA YA KANISA PIA ILIHUSIKA KWA NYIMBO ZA MAPAMBIO
 IKAWA FURSA KWA WAUMINI KUBEBA KOMBE LA WASHINDI

 HONGERA KOCHA

Post a Comment