0
 HAPA timu ya Biashara United ikifanya utaratibu wa kuingia nchini jirani ya Kenya kwaajili ya kwenda kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya kombaini kutoka Isbania,katika mchezo huo uliofanyika mwishoni mwa wiki,Biashara ilichomoza na ushindi wa mabao 4-0
 Wachezaji wakipewa maelezo kabla ya kuingia nchini Kenya
 Nje ya mpaka wa Tanzania na Kenya
 Mashabiki wa Biashara wakianza visa
 Benchi la Ufundi Biashara

 Wachezaji wa Biashara wakinyoosha viungo kabla ya mchezo
 Kikosi cha timu ya Biashara kilichofanya mauaji
 Kikosi cha Isbania kombaini kilichokula kichapo
 Wadau wa Biashara United
 Mlezi wa timu ya Biashara,Marwa Mathayo wa kwanza kushoto akifurahia jambo
 Kocha wa Biashara Amani akifatilia mchezo
 Macho mchezoni
 Ni furaha na K Vant ikiendelea

 Kocha akitoa maelekezo baada ya mchezo
 
 Inapigwa

 Wasomali wa Isbania wakiwa hoi baada ya kichapo
 Kocha akiingia kumalizia dakika 10
Shangwe ziliendelea kutoka kwa mashabiki wa Biashara

 Baada ya kurudi Musoma shangwe ziliendelea Maltivila Garden
 Mwendo wa vyupa


Post a Comment