0
 MKUU wa mkoa wa Mara,Magesa Mulongo,amemaliza ziara yake katika wilaya ya Tarime na Rorya kwa kutoa maagizo mazito kwenye wilaya ya Rorya kukalisha miradi iliyokwama kwenye utekelezaji wake ikiwemo kukamilisha mara moja kuvuta umeme na maji kwenye jengo la upasuaji la kituo cha afya kilichopo Kijiji cha Kinesi ili wananchi waweze kupewa huduma stahili za afya.
 Mkuu wa mkoa akimsikiliza mwanchi wa Kijiji cha Gibaso wilayani Rorya akielezea matatizo ya maji
 Wananchi wakiendelea kusikilizwa
 Hapa ni Kijiji cha Masanga akiwasikiliza wananchi waliotoa jengo lao kwajili ya kufanya kituo cha polisi ili kujilinda na masula ya kiusalama
 Umakini kuwasikiliza wananchi wa Masanga
 Mulongo kulia akimsikiliza mkuu wa wilaya ya Tarime,Gratius Luoga
 Wananchi wengi wakimsikiliza Mulongo

 Maelekezo yakiendelea kutolewa
 Hapa ni Ingili juu wilayani Rorya wananchi wakimsikiliza mkuu wa mkoa wa Mara

 Hapa ni kwenye mpaka kati ya Tanzania na Kenya eneo la Rorya Afisa Uhamiaji akitoa maelezo kuhusiana na maelewano yaliyopo mpakani hapo
 Licha ya mabango kusomeka kwenye viwanja vya Obwere Shirati mkuu wa mkoa alizungumza na wananchi wakaelewa na kutoa maagizo
 Baadae alimalizia ziara yake Kijiji cha Kinesi kwa kutoa maagizo kwa uongozi wa Wilaya ya Rorya kuhakikisha ndani ya wiki 2 Jengo la upasuaji wa kituo cha afya Kinesi linaanza kufanya kazi ya kuwahudumia wananchi
 Mulongo akiwasikiliza wahudumu wa afya nje ya jengo la upasuaji kabla ya kuzungumza na wananchi

Post a Comment