0

 
MJANE wa Aliyekuwa Rais wa Afrika kusini, Nelson Mandela,Graca Machel, amesema  kuwa Tanzania inahitaji  kupata muda mrefu wa kuweza kujipanga ili kuweza kubadili mila na desturi ambazo zimekuwa zikiukuka haki za binadamu hususani akina mama na watoto.
 
Aliyasema hayo katika uzinduzi wa mradi wa kusaidia watoto waliopo nje ya mfumo wa shule mkoani Mara  ili kupata elimu kwa kipindi cha mwaka 2016 na 2017  uliofanyika katika ukumbi wa uwekezaji uliopo katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Mara.

 Mama Graca akizungumza na wadau mbalimbali wa elimu wa mkoa wa mara

 Wadau wakifatilia mazungumzo juu ya elimu kwa waliotoka mashuleni


 mama Graca akiweka sahihi ya ahadi kupitia taasisi yake kusaidia kuwapatia elimu kwa waliotoka shuleni
 Sahihi za ahadi za viongozi kusaidia elimu kwa waliotoka mashuleni ukionyeshwa

Post a Comment