0
 KAMPUNI ya usafirishaji ya JM Luxury Coach itaanza kufanya safari ya kutoka Musoma Kwenda Dar es Salaam kupitia Mwanza,Shinyanga,Tabora,Singida,Dodoma,Morogoro kwa kutumia mabasi ya kisasa ya Yutong ambayo tayari yamewasili Musoma kwaajili ya kuanza safari hizo ambapo ukisafiri na mabasi hayo utapata huduma zilizo bora na nzuri na kukufanya kufurahi safari yako.
 Kwa kufanya mawasiliano ya usafiri ambao utakuwa ukifanya safari zake kila siku unaweza kupiga namba zifuatazo kw awatoa wahuduma-0756 814 140 au 0784 266 928-nyote mnakaribishwa kusafiri na JM Luxury Coach

Muonekano ndani ya gari
 Dereva atawasafieisha kwa raha mustarehe
Post a Comment