0


WASANII waliohudhuria tamasha kubwa la kiburudani hapa nchini(Fiesta) lililofanyika mwishoni mwa wiki manispaa ya Masoma wamepongeza mandhari nzuri ya hotel ya kisasa ya Le Grand Victoria na kusema ni mahala sahihi walipofikia na kufurahia uwepo wao Musoma jambo lililopekea kufanya burudani ilikonga nyoyo za mashabiki waliohudhulia tamasha hilo.

Wakizungumzia huduma walizopata kwenye hotel hiyo iliyopo katikati ya mji wa Musoma,wasanii hao kwa nyakati tofauti walipongeza uwekezaji huo ambao unawafanya wageni kujisikia amani kutokana na ubora na huduma ambazo walizipata hotelini hapo.

Mtangazaji wa Clouds na msanii wa Bongo freva,Adam Mchomvu (baba jonii) akiapata kinywaji ndani ya mjengo wa Le Grand Hotel
Msanii Naddy akiwa amejiachia juu ya gari la hotel ya Le Grand Hotel ambayo hutoa hduma kwa wateja wanaofika kwenye hotel hiyo

Mambo ya kujiachia na selfee
Ni mapozi ya kujiachia juu ya hotel

 Msanii Roma(kushoto) kijiachia na baba jonii
 Mandhari ndani ya Le Grand Hotel
 Watu kibao hujiachia ndani ya Le Grand
 Meneja masoko wa kampuni ya Tigo kanda ya ziwa,Edger Mapande,akizungumzia tamasha la Fiesta ndani ya Musoma
 Mkuu wa mkoa wa Mara akitoa salamu kwa mashabiki waliofika kuangalia tamasha la fiesta mjini Musoma
 Meya wa manispaa ya Musoma,Patrick Gumbo, nae hakuwa nyuma kuamsha popo
 Sehemu ya mashabiki waliohudhuria tamasha la fiesta Musoma
 Ruge Mutaba akitoa salamu kutoka Clouds



 Sehemu ya watoto kucheza ndani ya Le Grand Beach ambayo itafunguliwa hivi karibuni ambao wasanii walipita na kusifia kiwanja hicho
 Ukiwa Musomakaribu ndani ya Le Grand Hotel utafurahi


Post a Comment