0






TIMUya Biashara United Mara inayoshiriki ligi daraja la kwanza(FDL) imeanza vyema ushiriki wa ligi daraja la kwanza katika safari ya kupanda ligi kuu msimu ujao baada ya kuifunga timu ya Toto Africans bao 1-0 katika mchezo mkali uliofanyika kwenye uwanja wa kumbukumbu ya karume mjini Musoma ambapo uongozi wa timu ya Biashara umewashukuru mashabiki na wadau wa soka waliojitokeza kufatilia mchezo huo.


Mwenyekiti wa Cham cha Mpira wa Miguu mkoa wa Mara na Makamu Mwenyekiti wa TFF Michael Wambura,alitoa pongezi kwa ushindi huo









Kocha msaidizi wa timu ya Biashara United akitoa maelekezo


Mashabiki wa timu ya Toto wakifatilia mchezo huo






Post a Comment