WAFANYABIASHARA wa mitumba katika soko la Nyasho lililopo manispaa ya Musoma,wametakiwa kuacha kujichukulia sheria mikononi hata wanapokuwa wanawashika wanaodhaniwa kuwa ni wahalifu kwa kuwa kufanya hivyo ni kinyume cha sheria na inaweza kupelekea kushindwa kufanya biashara zao iwapo watabainika kufanya hivyo kwa kuwa wataishia mikoni mwa polisi.Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa kituo kikuu cha polisi mjini Musoma,Festo Ukulule,alipokuwa akitoa elimu juu ya masuala ya kiusalama kwa wafanyabishara wa soko hilo. |
Wafanyabiashara wa soko la mitumba Nyasho wakifatilia kikao hicho ambacho pia kilihudhuliwa na Diwani wa Kata ya Nyasho,Haji Mtete pamoja na maafisa mbalimbali kotoka halimashauri ya manispaa ya Musoma
Afisa Biashara wa Manispaa ya MusomaCharles Salyugu,akizungumzia masula ya ukataji wa leseni na kulipa mapato mbalimbali kutokana na biashara wanazozifanya |
Diwani Haji Mtete,akizungumza kwenye kikao hicho |
Ufatiliaji
Mmoja wa wafanyabiashara wa soko hilo akiulizia jambo
Diwani akisisitiza jambo kwenye kikao hicho
Mkuu wa kituo cha polisi mjini Musoma akiendelea kutoa elimu
Post a Comment
0 comments