0


MKUU wa Wilaya ya Musoma,Dk Vicent Naano,amesema jamii inayoishi na ulemavu wa kutosikia ni muhimu kupewa ushirikiano katika shughuli mbalimbali za kijamii ikiwemo kuwashirikisha kwenye kazi za mikono na kushangazwa na namna wanavyojituma kwenye kazi ya utengenezaji wa sabuni hivyo kuendana na serikali ya awamu ya tano ya Tanzania ya viwanda
Wanafunzi viziwi wakimfatilia mwalimu wa lugha za alama wakati mkuu wa Wilaya ya Musoma,Dk.Vicent Naano, alipokuwa akihutubia kilele cha maadhimisho ya siku ya kimataifa ya viziwi yaliyofanyika kwenye uwanja wa shule ya msingi Mukendo

Sehemu ya bidhaa ikiwemo sabuni ambazo zinatengenezwa na walemavu viziwi mjini Musoma

 Mkuu wa Wilaya ya Musoma,Dk. Vicent Naano,akizungumza kwenye maadhimisho hayo
 Mwandishi wa Chanel ten Musoma,Ahmad Nandonde,akichangia damu kwenye maadhimisho hayo
 Afisa maendeleo ya jamii mkoa wa Mara,Neema Ibamba,akizungumza kwenye maadhimisho












Post a Comment