0
MAMLAKA ya Mwasiliano Tanzania(TCRA) imetoa elimu kwa Waandishi wa Habari mkoani Mara namna ya kuweza kuhama mtando mmoja kwenda mwingine kwa lengo la kupata huduma bora zaidi za kimawasiliano huku wito ukitolewa kwa Waandishi kuhakikisha elimu hiy wnaifikisha kwa jamii nzima iweze kupata elimu hiyo.



 Akizungumza kwenye mafunzo hiyo mafupi yaliyofanyika kwenye ukumbi w uwekezaji kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mara,Naibu Mkurugenzi wa Masuala ya Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano wa TCRA,Thadayo Ringo,amesema kupitia Waandishi wa Habari wananchi watpata elimu hiyo.
Elimu ikiendelea kutolewa

Mwandisi wa Clouds,Emanuel Cibasa akifatilia mafunzo hayo

Mafunzo yanaendelea

NAIBU Mkurugenzi,Ringo akiendelea kutoa elimu


Post a Comment