Zoezi hilo liliendeshwa na mfuko huo kwa kushirikiana na klabu ya mazoezi ya Musoma Veterani ambayo likiambatana na bonanza la michezo lililoshirikisha timu 4 za manispaa ya Musoma
Mwakilishi wa mfuko huo mkoa wa Mara,Isack Katende(pichani) alisema kupima afya mara kwa mara kuna umuhimu mkubwa na kuwataka wanamichezo kujenga utamaduni wa kupima mara kwa mara ili kutambua afya
Wachezaji wa Musoma veterani wakijiandaa kupima
Mwakilishi wa Musoma veterani,Afidh Waziri akizungumzia umuhimu wa kupima na kujua afya
Vipimo vikiendelea
Mmmoja wa wanamichezo akipwa sukari
Mwenyekiti wa Musoma veterani,Ahmed Salum,akisubilia majibu
Afidh Waziri,akipata ushauri baada ya kufanyiwa vipimo
Ushauri ukiendelea kutolewa
Afisa wa NHIF mkoa wa Mara wakionyeshana kitu na mmoja wa wachezaji wa Musoma veterani
Ushauri ukitolewa
vipimo vinaendelea
Picha kabla ya kuanza kwa bonanza
Post a Comment
0 comments