0

TIMU ya Biashara United Mara imeendelea na harakati zake za kupambana na kutafuta pointi Mmoka wa wadau wa michezo wa zitakazowawezesha kupata fursa ya kucheza ligi mkuu msimu ujao ambapo katika mchezo wake wa 3 dhidi ya Pamba ya Mwanza imeilazimisha sare ya kutokufungana na kufikisha pointi 4 baada ya mchezo wa awali kuifunga Toto pia ya Mwanza bao 1-0 kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma kabla ya kufungwa bao 1-0 na Dodoma Fc

 Mmoja wa wadau wa michezo wa jiji la Mwanza akisalimiana na wachezaji wa timu ya Biashara United
Bechi la timu ya Biashara United ndani ya uwanja wa Nyamagana

 Kikosi cha timu ya Biashara United kilichovaana na Pamba
 Kikosi cha timu ya Pamba kilichopambana na Biashara United
 Waamuzi wa mchezo na manahodha wa timu pamoja na kamisaa wa mchezo kabla ya kuanza kwa mchezo
 Wachezaji wa Biashara wakipata maelekezo kutoka kwa kocha msaidizi,Aman Josia
 Nahodha wa Biashara United,Kazee Maginga,akiwasihi wachezaji wenzake kusogea pembeni baada ya mwenzao kuchezewa ndivyo sivyo huku mwamuzi akiwa pembeni
 Kocha akionekana kuulaumiwa akidaiwa kuchezesha ndivyo sivyo

 Dua baada ya kumalizika kwa mchezo


 Kocha msaidizi wa timu ya Biashara United, Aman Richard, akizungumza na Waandishi wa Habari



Post a Comment