Nahodha wa timu ya Biashara United,Gody Malimbiche akiwatambulisha wachezaji wa Biashara United kwa mkuu wa wilaya ya Mpwapwa,JABIR SHEKIMWERI
Wachezaji wakisalimiana kabla ya kuanza mchezo
Kikosi cha timu ya Biashara United kilichoanza mchezo huo
Bechi la timu ya Biashara United
Baadhi ya mashabiki wa Biashara United wakifatilia mchezo
Nahodha wa timu ya Biashara akiwa chini baada ya kufanyiwa dhoruba
Akitolewa nje ya uwanja
Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa,JABIR SHEKIMWERI,(kushoto) akiwa na Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde,(mwenye miwani) wakifatilia mchezo huo
Meneja wa timu ya Dodoma Fc Madope Mwingira(mwenye kipara) akirumbana na mashabiki baada ya kufungwa
Shabiki aliyekuwa akirumbana na Meneja wa Dodoma Fc akitolewa nje na askari kanzu
Kocha wa timu ya Dodoma Fc,Jamhuri Kiwelu,akifatilia mchezo huo
Kocha wa timu ya Biashara United,Madenge Omary akimueleza mwamuzi wa akiba
Mwamuzi akiita huduma ya kwanza baada ya kipa wa timu ya Biashara Hassan Nyaku kufanyiwa madhambi
Hatari ikiondolewa golini
Mchezaji wa timu ya Biashara akitolewa uwanjani kufanyiwa matibabu
Diwani wa Kata ya Kitaji manispaa ya Musoma ambaye pia ni mwanachama wa Biashara United akigalala kwa kufuraha baada ya mchezo kumalizika na timu yake kuibuka na ushindi wa bao 1-0
Furaha ikiendelea
Ni mwendo wa furaha2
Mashabiki wakiendeleza shangwe
Shabiki wa timu ya Biashara maarufu kwa jina la Bandeko akiwa amejifunika bendera
Wachezajji wakiwa njiani kurudi Musoma
Meneja wa timu ya Biashara akizungumza na mashabiki katika wilaya Bunda mkoani Mara baada ya kufika na kuwasalimia
Timu ilipoingia Musoma
Mwenyekiti wa Biashara akizungumza na wachezaji kwenye hotel ya Maltivila
Meneja wa Tigo mkoa wa Mara,Edwin Kisamo akizungumza na wachezaji na viongozi wa timu ya Biashara kama sehemu ya wadhamini wa timu hiyo
Mkuu wa Wilaya ya Musoma.Vicent Naano alipofika kuwasalimia wachezaji mara baada ya kuwasili
Post a Comment
0 comments