0
KOCHA mkuu wa timu ya Biashara United Mara, Sindbad Madenge, akizungumza na Mwandishi wa kituo cha redio cha Standard fm kilichop[o mkoani Singida,Cales One,timu ilipokuwa njiani kuelekea mkoani Dodoma ambapo imefanikiwa kufika salama na leo hii inashuka kwenye  uwanja wa Mgambo wilayani Mpwapwa kuivaa timu ya Dodoma fc katika muendelezo wa michezo ya ligi daraja la kwanza


 Cales One akizungumza na Meneja wa Timu,Aman Richard Josia
 Wachezaji wa Biashara United wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa Mgambo wilayani Mpwapwa
 Mazoezi yakiendelea


 Kikao cha maandalizi ya mchezo wa leo jioni
Hii ndio jezi itakayotumiwa na Biashara United ikionyeshwa na Kit Manage, Mgendi Mbaga

Post a Comment