0

WACHEZAJI wa timu ya Biashara United Mara wakishangiliaji moja ya mabao katika mchezo wa ligi daraja la kwanza dhidi ya Toto Africans ambapo Biashara United waliibuka na ushindi wa mabao 3-1 na kushika nafasi ya 3 katika msimamo wa ligi kundi C,uongozi wa timu hiyo umewaomba wadau mbalimbali wa mchezo wa soka mkoa wa Mara kuendelea kuisaidia na kuwa karibu na timu hiyo ili iweze kufanya vizuri na hatimaye kucheza ligi kuu msimu ujao

 Mwanachama wa timu ya Biashara United, Alhaj Abubakar Majogoro,akionekana kutoa mfano wa ujambo kwa viongozi wa timu hiyo
 Vijana wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa Nyamagana
 Katibu wa Biashara United,Haji Mtete, (kushoto) akiwa na Majogoro
 Kocha Madenge akiendesha mazoezi

 Meneja wa kampuni ya mawasiliano ya Tigo,Edwin Kisamo,(kulia) akimkabidhi bips Mwenyekiti wa Biashara,Seleman Mataso
 Kocha amani pia alikabidhiwa pia vifaa hivyo
 Kocha madenge nae hakuwa mbali
 Kikosi cha Biashara baada ya kukabidhiwa vifaa kutoka Tigo

 Kocha Amani akitoa shukrani
 Wachezaji wakiwasikiliza viongozi

 Kocha selemani akitoa shukrani kwa kampuni ya Tigo
 Timu ikielekea uwanja wa Nyamagana
 Mazoezi kabla ya mechi dhidi ya Toto kuanza
 Kocha Madenge akifatilia mazoezi ya vijana

Kikosi cha ushangiliaji kikiendelea na hamasa
 Kabla ya kuanza kushangilia ilitanguliwa na dua ya mashabiki

 Katibu wa timu akiangalia mpira uliokabidhiwa na Tigo
 Kocha Madenge akifatilia mchezo

 Wachezaji wakisalimiana kabla ya kuanza mchezo
 Manahodha na waamuzi katika picha ya pamoja kabla ya kuanza mchezo
 Kikosi kilichoanza dhidi ya TOTO

 Vijana wakishangilia bao la kwanza
 Kocha akitoa maelekezo
 Vijana wakishangilia bao la 2
 Wachezaji walio benchi wakiftilia mchezo

Post a Comment