| MADEREVA WA PIKIPIKI WAKIPITA KATIKA BARABARA YA MKENDO KWENDA KUMSHUHUDIA MWENZAO HOSPITALI YA MKOA WA MARA |
| BODABODA WAKIWA NJE YA HOSPITALI YA MKOA WA MARA |
| WANANCHI WAKISHUHUDIA MWILI WA BODABODA ANYEDAIWA NI MKAZI WA KIGERA KIARA ALIYECHINJWA NA KUNYANG'ANYWA PIKIPIKI |
| SEHEMU YA MGUU AMBAO PIA ULIKATWA NA MAPANGA |
| ASKARI POLISI WAKIWAPA NAFASI WANANCHI KUUTAMBUA MWILI HUO UKIWA NDANI YA GARI |
| DAKTARI AKIWA KAZINI KABLA YA KUPELEKWA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI |
Nb;tunaomb radhi kwa baadhi ya picha ya tukio hili





Post a Comment
0 comments