1:-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu
Jaji Mstaafu,
Justice Ernest Mwipopo, aliyefariki kwa ajali ya gari April 3, huko
maeneo ya Morogoro. Shughuli hizo za kuaga mwili huo zimefanyika leo
April 5, 2013 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, ambapo baada ya
shughuli hizo mwili ulisafirishwa kuelekea Mkoani Iringa kwa maziko kesho. Picha na OMR
2:-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanaznia, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiwafariji ndugu wa marehemu baada ya kutoa heshima za mwisho,
wakati wa shughuli
za kuaga mwili wa marehemu Jaji Mstaafu, Justice Ernest Mwipopo,
aliyefariki kwa ajali ya gari April 3, huko maeneo ya Morogoro. Shughuli
hizo za kuaga
mwili huo zimefanyika leo April 5, 2013 kwenye Viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam, ambapo baada ya shughuli hizo mwili ulisafirishwa
kuelekea Mkoani Iringa kwa maziko kesho. Picha na OMR
3:-
Mmoja wa majaji akibeba picha ya marehemu wakati majaji hao wakishuha
jeneza hilo lenye mwili wa marehemu, ili kuanza shughuli za kuaga katika
viwanja vya Karimjee leo. Picha na OMR
4
na 5:- Majaji wakibeba jeneza lenye mwili wa Marehemu Jaji Mstaafu,
Justice Ernest Mwipopo, wakishusha katika gari kwa ajili ya kuanza
shughuli za kuaga katika viwanja vya Karimjee, leo. Picha na OMR
6:- Mmoja wa wanafamilia akibugujikwa machozi wakati wa shughuli hiyo ya kuaga.
7:-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanaznia, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiongozana na Jaji Mkuu Kiongozi na Jaji Mkuu wakati akiwasili
kwenye Viwanja
vya Karimjee leo kushiriki kwenye shughuli za kuaga mwili wa marehemu
Jaji Mstaafu, Justice Ernest Mwipopo, aliyefariki kwa ajali ya gari
April 3, huko maeneo ya Morogoro.Picha na OMR
8:- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanaznia, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Spika wa Bunge, Anne
Makinda, Jaji Mkuu Kiongozi na Jaji Mkuu wakiwa katika shughuli hiyo ya kuaga mwili.Picha na OMR
Post a Comment
0 comments