0

 Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Abdulrahman Shimbo, anayekwenda kuwa Balozi wa Tanzania nchini China, wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha mabalozi wawili wapya iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu ndogo mjini Dodoma leo. 
 Rais Jakaya Kikwete, akimkabidhi Nyaraka za Serikali Balozi Abdulrahman Shimbo, anayekwenda kuwa Balozi wa Tanzania nchini China, wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha mabalozi wawili wapya iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu ndogo mjini Dodoma leo. 
  Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Anthony Ngereza Cheche, anayekwenda kuwa Balozi wa Tanzania DRC Congo, wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha mabalozi wawili wapya iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu ndogo mjini Dodoma leo. 
 Rais Jakaya Kikwete, akimkabidhi Nyaraka Balozi Anthony Ngereza Cheche, anayekwenda kuwa Balozi wa Tanzania DRC Congo, wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha mabalozi wawili wapya iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu ndogo mjini Dodoma leo. 
 Rais Jakaya Kikwete, Makamu wake, Dkt. Bilal, Katibu Mkuu Kiongozi. Ombeni Sefue, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benarld Membe, wakiwa katika picha ya pamoja na mabalozi wapya walioapishwa leo katika Viwanja vya Ikulu ndogo mjini Dodoma leo.

Post a Comment