1
 NI MWENDO WA MCHAKAMCHA MWANZO MWISHO HAPO NI MITA YA MTAKUJA LAKINI NGOMA ILIANZIA VIWANJA VYA POSTA

 MKUU WA MAZOEZI KUTOKA KIKOSI CHA FFU,SANGA AKIHIMIZA MAZOEZI
 AFANDE KIMARO MIKONO JUU!

 MATUKIO NAYO MUHIMU KUCHUKULIWA
 KAMANDA WA JESHI LA POLISI MKOA WA MARA AFANDE MTUI AKIONGOZA KIKOSI CHA JWTZ
 MAKAMANDA
 AFANDE BARIDA KAMA KAWAIDA
 WAZEE WA GHASIA

 HAIKUWA KAZI NDOGO
 PUSHAP NAZO ZILIHUSIKA
 NI KUJIWEKA FIT
 AFANDE OSS MSAIDIZI WA KITUO CHA POLISI MUSOMA AKIJINYOOSHA
 KUTOKA KUSHUTO AFANDE HUPA,OLIECHI,HAMAD NA MTUI
 TUKO PAMOJA

 KUPEANA MAELEKEZO
 NAMI NILIHUSIKA ILA MWILI SASA HAPA NILIPO UMEKUWA MCHUNGU
BAADA YA KUMALIZA JELAMBA MUHIMU KUPONGEZANAASKARI wa jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) na askari wa Jeshi la polisi wametakiwa kuwa kitu kimoja na kufanya kwa kazi kwa kushirikiana kwa kuwa kazi yao ni moja ya kuhakikisha ulinzi wa Wananchi na mali zao pamoja na mipaka ya Nchi ni yao japo wanafanya kazi kwenye vitengo tofauti kutokana na majukumu ya kazi.

Post a Comment

Inapendeza sana,si kifuga vitambi askaro anatakiwa kuwa mkakamavu wakati wote,ila sijamuona#Javira mzee wa tiger.