0
 


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhartd,alipofika leo Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais,baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na  Balozi wa Marekani Nchini Tanzania  Alfonso Lenhartd,alipofika leo Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais,baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

Post a Comment