WAJASILIAMALI WAKIPATA MAELEZO KUTOA KWA AFISA MFAWIDHI WA PSPF SUDI HAMZA KATIKA VIWANJA VYA MUKENDO |
MAAFISA WA PSPF KATIKA MAELEKEZO ZAIDI NDANI YA MAONYESHO YA SIDO YATAKAYOFIKA TAMATI DESEMBA 2 UWANJA WA MKENDO KULIA ANAYETOA MAELEKEZO NI AFISA MWANDAMIZI PSPF MKOA WA MARA SUDI HAMZA |
UMAKINI UNAHITAJIKA KUSIKILIZA MAELEZO ILI UJIUNGE PSPF |
MAFAO YANAYOTOLEWA NA PSPF |
UKIFIKA UNAPOKLEWA NA UNAJIANDIKISHA KWA UKALIMU ZAIDI |
HAYA YANAZINGATIWA |
![]() | ||||
MAKAO MAKUU YA PSPF DAR ES SALAAM |
Post a Comment
0 comments