0
 Washiriki  wa mafunzo ya  uboreshaji wa  uandishi wa  mitandao  ya  kijamii kama blog  na mingine  wakiwa katika ukumbi  wa   Dodoma  Hotel  leo  ni mafunzo ya siku  nne  kuanza  leo
 Ma bloga kutoka  mikoa  mbali mbali wakiwa katika darasa  la mafunzo ya uboreshaji uandishi wa mitandao ya kijamii chini ya  ufadhili wa TMF 


Kama kawaida wanablogger kutoka Mara wakiwa katika Mafunzo New Dodoma Hotel,kutoka kushoto ni Pendo Mwakyembe,Augustine Mgendi na Shomar Binda

Post a Comment